Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Haswaa!
 
Vipi leo utopolo watafanyia wapi mazoezi? Tandika primary school au Magomeni?
 
Wala usiombe radhi, acha awakeree tu. Morrison huku Simba si kwa ajili ya kucheza, ni kwa ajili ya kuwakera tu utopolo! na mtakereka haswaa, maana nje Manara ndani Morrison, mtakimbilia wapi sijui!
Kuna watu mna akili za kipumbavu nina mashaka nanyi sana.
 
Wala usiombe radhi, acha awakeree tu. Morrison huku Simba si kwa ajili ya kucheza, ni kwa ajili ya kuwakera tu utopolo! na mtakereka haswaa, maana nje Manara ndani Morrison, mtakimbilia wapi sijui!
Huna akili wewe, una kamasi kama la lopolopo wenu Manara na sasa Mrs Jonas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…