Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hapana,anarud juzi walipost ameshapona na anaweza kuendeelea kucheza
Balama ameachwa, Yanga hatuna shukrani. Fiston ameshapewa jezi yenye namba yake, soma gazeti hapa chini:

Attachments

  • 1612073905607.png
    166.5 KB · Views: 1
Snitch wewe club ndiyo imempa hivyo na alisema atajitahidi apambane ili miezi sita ikiisha azingatiwe kuongezezewa mkataba
Hao wanahangaikaga na Yanga tu waulize hao wachezaji wao wapya waliowasajili majuzi kuna mwenye hata usajili wa mwaka?

Karibia wote nasikia ni miezi sita sita lakini hayo hata hawayaoni wanayaona ya Yanga tu.
 
Balama ameachwa, Yanga hatuna shukrani. Fiston ameshapewa jezi yenye namba yake, soma gazeti hapa chini:

View attachment 1690521
Balama bado nimchezaji wetu hatuja'muacha kitendo chakumuacha nisawa nakumtelekeza....Yanga niwaungwana hatuwezi kufanya kitendo chakiunyama Kama hicho

Balama yupo kwenye uangalizi juzi juzi tu hapa alipelekwa S.A kwamatibubu
 
Kesharudi anaendelea na matibabu madogomadogo kabla haja recover kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlisema harudi tena baada ya kwenda kwao Ghana. Haya Kapuuteeein huyo ndani ya Kigamboni.
 
WATAKAOKUWEPO LEO HUKO AVIC TOWN KIGAMBONI KWENYE SIKU YA WANANCHI MEDIA DAY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…