Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Yeye ndio ameipa klabu miezi sita, msome hapa alivyopiga biti:Snitch wewe club ndiyo imempa hivyo na alisema atajitahidi apambane ili miezi sita ikiisha azingatiwe kuongezezewa mkataba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndio ameipa klabu miezi sita, msome hapa alivyopiga biti:Snitch wewe club ndiyo imempa hivyo na alisema atajitahidi apambane ili miezi sita ikiisha azingatiwe kuongezezewa mkataba
Safi sana.Alienda South Afrika kafanyiwa uoasuaji amesharudi ambapo madaktari walisema atachukua wiki tano hivi kabla ya kuanza mazoezi mepesi. Na hadi sasa ana wiki mbili au na nusu hivi tangu arudi
Mimi nilimsikia akisema yeye mwenyewe you tube
Balama ameachwa, Yanga hatuna shukrani. Fiston ameshapewa jezi yenye namba yake, soma gazeti hapa chini:Hapana,anarud juzi walipost ameshapona na anaweza kuendeelea kucheza
Hao wanahangaikaga na Yanga tu waulize hao wachezaji wao wapya waliowasajili majuzi kuna mwenye hata usajili wa mwaka?Snitch wewe club ndiyo imempa hivyo na alisema atajitahidi apambane ili miezi sita ikiisha azingatiwe kuongezezewa mkataba
Balama bado nimchezaji wetu hatuja'muacha kitendo chakumuacha nisawa nakumtelekeza....Yanga niwaungwana hatuwezi kufanya kitendo chakiunyama Kama hichoBalama ameachwa, Yanga hatuna shukrani. Fiston ameshapewa jezi yenye namba yake, soma gazeti hapa chini:
View attachment 1690521
Kwa hiyo jezi yake ikichukuliwa anakuwa kaachwa!!Balama ameachwa, Yanga hatuna shukrani. Fiston ameshapewa jezi yenye namba yake, soma gazeti hapa chini:
View attachment 1690521
Kesharudi anaendelea na matibabu madogomadogo kabla haja recover kabisaBalama bado nimchezaji wetu hatuja'muacha kitendo chakumuacha nisawa nakumtelekeza....Yanga niwaungwana hatuwezi kufanya kitendo chakiunyama Kama hicho
Balama yupo kwenye uangalizi juzi juzi tu hapa alipelekwa S.A kwamatibubu
Hakuna timu moja yenye namba moja ya jezi kwa wachezaji wawili. Labda kwa kuwa Fiston anacheza miezi sita tu, pengine wamekadiria ndio muda wa Balama kuwa nje ya uwanja!
Unamaanisha nini wewe!? Kwani balama akirudi hawezi badilishiwa jezi!!?Hakuna timu moja yenye namba moja ya jezi kwa wachezaji wawili. Labda kwa kuwa Fiston anacheza miezi sita tu, pengine wamekadiria ndio muda wa Balama kuwa nje ya uwanja!