Points tatu tayari tushachukua Congo.Nawatakia mabalaa Mbumbumbu siku ya Leo huko Congo
Leo ndiyo unalijua Hilo, timu lenu bila Chama hakuna kitu.
Jamaa kashachukua point 3, wewe utakua na gundu. Ombi lako mfu halija saidia chochote mfyuuuuuuu UTOPOLO MKUBWA WEWEEEENawatakia mabalaa Mbumbumbu siku ya Leo huko Congo
Chama la wana, simba imeshinda leteni lawamaChama la wana,wakirudi Mbumbumbu fc itakuwa tushatangazwa mabingwa 2020/21
Siku mkija shituka , Simba ina ubingwa wa AfricaChama la wana,wakirudi Mbumbumbu fc itakuwa tushatangazwa mabingwa 2020/21
Nyie ndio huwa mnajinyongaPoints tatu tayari tushachukua Congo.
Wakija tena Bongo 3 zingine,jumla points 6 zipo mkononi mpaka sasa.