Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Naona Utopolo bado wamejificha hawana ujasiri wa kuchangia uzi! Pamepoa!!! Afadhali utopolo washinde jukwaa lichangamke tenaยก Sisi hatuna roho mbaya kama ninyi tunawatakia ushindi huko mbeya!!
Ila kumbukeni kuja na mchele wa kumpikia baba aliyesafiri kwenda DRC Congo, akirudi mtampikia!!
 
Naona Utopolo bado wamejificha hawana ujasiri wa kuchangia uzi! Pamepoa!!! Afadhali utopolo washinde jukwaa lichangamke tenaยก Sisi hatuna roho mbaya kama ninyi tunawatakia ushindi huko mbeya!!
Ila kumbukeni kuja na mchele wa kumpikia baba aliyesafiri kwenda DRC Congo, akirudi mtampikia
 
Marefa wa Tanzania ni changamoto kubwa kwa maendeleo ya mpira wetu....

Vyura mmepewa goli na refa...hovyo kabisa
 
Hizo injury za kizembe dk wa team ajiangalie Sana
 
Acha kabisa. Mie nilishajikatia tamaa nikijua tumeambulia sare.
Mie nmetoka kibanda umiza saiz nipo njiani narud geto earphone masikioni ndo nikaingia jf๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†, yani nimeshakata tamaa kitambo
 
Mie nmetoka kibanda umiza saiz nipo njiani narud geto earphone masikioni ndo nikaingia jf๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†, yani nimeshakata tamaa kitambo
Wamepata penalti Mbeya City huko. ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mtani kwani hukumsikia yule roporopo wenu alisema kama una haya mawazo basi jifunike shuka ulale gubigubi kwani ni kitu ambacho hakiwezekani. [emoji28]
Kwasababu hakuna club inaubeba sio ? Kama ipo basi kinawezekana , pale Kinshasa kushinda si utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ