Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tufurahi japo kidogo,maana tumerejea kwenye nafasi yetu..........
 
Ni ishala nzuri kuutete vyema ubingwa

Tunataka vijana wakaze njumu tupate ubingwa wa 25 ambao ni ROBO KARNE ya vicheko. Manji na wenzako jueni kuwa tunahitaji sana huu ubingwa. Wengine wanapofikiria na kubuni mbinu za kisasa na za kisayansi za kung'oa viti, sisi tufanye mazoezi ya nguvu ili tutetee ubingwa wetu.
 
Yanga maisha saafi...
Wali Nazi, Njegere Nazi...
Kazi ipo kwa watani zetu...teh teh teh mijcho myekunduu kwa ajili ya kupuliza kuni, ile hali jiko limenuna.
Sasa sijui hizo kuni watachemshia maji ya kuoga au laa...
 
naomba kuwauliza yanga kwa mwaka huu mtaweza kuleta kombe au mnataka kutalii siamini kama mtaweza mnajifanya mna wa brazili hamna lolote
 
imebeba mara mbili mfululizo hako kakombe, mwaka jana tungebeba tena lakini hatukutaka ku-risk maisha huko kwa Omar El-Bashir, mwaka huu tunalirudisha tena jangwani
 
by Makoye Matale;
Simba ana point 3 zetu, tarehe 20/10/2013 atazitema tu



Mkuu Makoye Matale naomba matokeo ya hii mechi twafadhali,
 
Last edited by a moderator:
by cnjona;
Yaaa.. linakuja jangwani



Kweli mkuu cnjona lilikuja jangwani!
 
Last edited by a moderator:
nalaani tena inasikitisha wapenzi wa yanga fungeni midomo nyinyi sio makocha na hamchangii chochote kwenye yanga acheni ujinga upumbavu kupiga kelele kwa wachezaji au mmetumwa? na mpira mnauhalibu nyinyi huko dar mnajifanya mnajua wakati hamna lolote makubwa jinga nyinyi
 
Hbr wana jf,
Nimechoshwa na huu utumwa kila nikija jamvini nakutana na threads km hz
man u special thread
the r madrid special thread n.k!
Kwanini nasi tusiwe na thread za timu zetu?km simba s.c special thread aka mikia fc.azam fc special thread na bila kusahau MGAMBO FC special thread.
Dar young africans DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Go go go go go go go
Young african Sports Club,tuko pamoja sn twende tukawafunge hao mgambo na tuendelee kushikiria nafas yetu ya kwanza.
Yanga Hii ni ya KIMATAIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…