Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Kaka mkubwa Makoye tujuze yaliyojiri leo
Samahani Mkuu, baada ya ushindi nilienda kujirusha viwanjani. Ili kuweka kumbukumbu vizuri mambo yalikuwa Kagera Sugar (Ngway) 1-2 Yanga (Ngasa, Kiiza). Hongera sana Yanga, timu ya Wananchi.