Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Unaongea Sana af tukikutana hamn kitu mtafanya zaidi ya kuomba sare na Yanga [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
karia na kidau ndio kimbilio lao mikia
 

karia na kidau ndio kimbilio lao mikia

Simba ikipata matokeo mabaya
1. Kocha hakufanya selection nzuri
2. Mfumo hakuwa sahihi
3. Beki ina mapungufu
4. Striker wamekosa utulivu
5. Mamido walipoza sana game

Yanga wakipata matokeo mabaya
1. Simba wametia mkono
2. Tff inaibeba simba
3. Bodi ya ligi inaipendelea simba
4. Marefa wanachezesha kwa maagizo
5. Serikali iingilie kati kutatokea machafuko sana
6. Wizara na tff zote ni simba
7.Manara ni mchochezi na analeta uadui ktk mpira [emoji12]

Hivi utopolo mna akili kweli, naona kama aikili zenu zinautapiamlo[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Unaongea Sana af tukikutana hamn kitu mtafanya zaidi ya kuomba sare na Yanga [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndani ya misimu minne iliyopita mmeshinda mchezo mmoja tu wa ligi

Mmekua mkipigwa au suluhu

Makocha watatu wa mwsho wa simba wamekufunga wote na hujawafunga , huyu wanne kishingo ndio mmemfunga, hiyo tunaiita "bahati"
 
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA KAGERA SUGAR HAPO 19:00HRS.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
 
Yanga, my team, my happiness, plz do something tonight πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
 
Mimi kwangu Farid na Sarpong wakianzaga naona mauzauza tu, sijui leo labda kwa kuwa ngoma ipo kwenye mkeka.
 
Hapa arudi Ntiba na Yacouba timu ndio itakaa poa,Binafsi ni kheri ht Nchimbi acheze kuliko hawa kina Sarpong
 
Uto kama uto, hii game mkifugwa ndio mtapiga mpaka waandishi wa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…