Mechi ambayo ingeamua ubingwa imepekwa mwez wa tano , hatujawah kua na jambo letu tukafeli hata Mara moja , yani hata Mara moja ,na haitotokea kamwe
Mechi mbili za simba za mwsho ambazo zilikua ni mechi maalumu
Moja tukaipa jina "TUNA JAMBO LETU"
Nyingine tukaipa jina "WAR IN DAR"
Mechi zote mbili tumeshinda kwa jumla ya aggregate ya goli 8-1
Yanga kala 4, Platinumz kala 4
Shinda Mechi zako zote zilo salia kabla ya may 8
Nami nishinde zote kabla ya may 8 (nafahamu by that time nitakua kilelen either kwa tofaut ya magoli au kwa points , tukutane mechi ya kuamua bingwa