Imeanza tangia 19:00hrs.
Na sijui kwa nini kocha hapendi kumuanzisha Nchimbi.Hapa arudi Ntiba na Yacouba timu ndio itakaa poa,Binafsi ni kheri ht Nchimbi acheze kuliko hawa kina Sarpong
Mkuu natamn kushangilia hadi dak ya 90 sema kuna muda vinaumana vibaya inabid nizuge naenda uani🤣🤣🤣😂😂😂 Leo ubakie hapo kibanda umiza mpaka mwisho Mkuu.
Ndo mpira huo Mkuu. 😂😂😂Mkuu natamn kushangilia hadi dak ya 90 sema kuna muda vinaumana vibaya inabid nizuge naenda uani🤣🤣🤣
Ndo mpira huo Mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kuna mida unaeza kuta moyo unaenda mbio tu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Ndo mpira huo Mkuu. 😂😂😂
Yaani kuna mida unaeza kuta moyo unaenda mbio tu. 😅😅😅
😅😅😅 basi uko vizuri Mkuu.Hahaaaa watu mna mapenzi aisee, mie japo nina upenda mpira ila siko hivyo aisee. Sa niumie kivip yaani
Sawa.Uto kama uto tayari msha wekwa huko
Mkuu kat ya vitu huwa najuta kujiingiza navyo bc n ushabiki wa mpira, unakuta mm naumia wachezaji wanacheka[emoji16], nina bro wangu yani maswala ya mpira yupo nayo mbali hajui ata timu za bongo, huwa natamn maisha yake, hakuna anachokutana nacho cha kukwaluza moyo wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tu Mkuu. Ila Mungu mkubwa tumekomboa.Haya mambo haya😪😪😪😪 yan mapema hivi😬😬
Mnamaisha marefu sana ninyi, natamn ningekuwa kama nyinyi🤣🤣, mm presha inaweza kupanda faster mkabaki mnasema mbona alikuwa mzima tu😁Huyo broo wako yuko kama mm, mm habari za mpira wa Tanzania sinaga kabisa. Najua tu kuna simba na Yanga hizo zingine sijui ata zinatokea wapi