Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mkuu natamn kushangilia hadi dak ya 90 sema kuna muda vinaumana vibaya inabid nizuge naenda uani🤣🤣🤣
Ndo mpira huo Mkuu. 😂😂😂

Yaani kuna mida unajikuta moyo unaenda mbio tu. 😅😅😅
 
Hahaaaa watu mna mapenzi aisee, mie japo nina upenda mpira ila siko hivyo aisee. Sa niumie kivip yaani
Ndo mpira huo Mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani kuna mida unaeza kuta moyo unaenda mbio tu. [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu kat ya vitu huwa najuta kujiingiza navyo bc n ushabiki wa mpira, unakuta mm naumia wachezaji wanacheka😁, nina bro wangu yani maswala ya mpira yupo nayo mbali hajui ata timu za bongo, huwa natamn maisha yake, hakuna anachokutana nacho cha kukwaluza moyo wake🤣🤣🤣
Ndo mpira huo Mkuu. 😂😂😂

Yaani kuna mida unaeza kuta moyo unaenda mbio tu. 😅😅😅
 
Huyo broo wako yuko kama mm, mm habari za mpira wa Tanzania sinaga kabisa. Najua tu kuna simba na Yanga hizo zingine sijui ata zinatokea wapi
Mkuu kat ya vitu huwa najuta kujiingiza navyo bc n ushabiki wa mpira, unakuta mm naumia wachezaji wanacheka[emoji16], nina bro wangu yani maswala ya mpira yupo nayo mbali hajui ata timu za bongo, huwa natamn maisha yake, hakuna anachokutana nacho cha kukwaluza moyo wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uto mmeshindwa kuanzisha hata uzi wa kutupa updates za hii mechi!! Kwel yanga baridiiiiiiii
 
Huyo broo wako yuko kama mm, mm habari za mpira wa Tanzania sinaga kabisa. Najua tu kuna simba na Yanga hizo zingine sijui ata zinatokea wapi
Mnamaisha marefu sana ninyi, natamn ningekuwa kama nyinyi🤣🤣, mm presha inaweza kupanda faster mkabaki mnasema mbona alikuwa mzima tu😁
 
Back
Top Bottom