Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yaani hadi natamani umeme ukatike hapa kwangu. Lol.

Mana ni aibu kwani wajomba zako ni Simba wanashangiliaje. 😂😂😂
Mm huwa sina sifa ya kuangalia mpira huu, we ngoja kidg tu mana hata geto sijapika, yani nina sababu kubwa sana za kuondoka hapa kibanda umiza😆😆
 
Mm huwa sina sifa ya kuangalia mpira huu, we ngoja kidg tu mana hata geto sijapika, yani nina sababu kubwa sana za kuondoka hapa kibanda umiza😆😆
Tumeshakomboa ujue. 😂😂😂
 
Farid Kama angekuwa international player alafu anacheza hvyo ungesikia wachambuzi uchwarwa wanasema tumepigwa

He is average
 
Back
Top Bottom