Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Mkuu nimeona hapa moyo umetulia😁Tumeshakomboa ujue. 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeona hapa moyo umetulia😁Tumeshakomboa ujue. 😂😂😂
Ila mabeki wanatuangusha sana leo kwani Kagera wanaingia kwenye box mbaya.Mkuu nimeona hapa moyo umetulia😁
Tena tunahitaji mabadiliko makubwa sana wallahIla Yanga tunahitaji kubadilika kwa kweli. Mambo ya kutegemea kukomboa mwisho wa siku tunalala.
Kabisa Mkuu kwani tuko mbili mbili lakini bado unaona kabisa Kagera anaeza ongeza goli kama mabeki wataendelea kucheza hivi wanavyocheza.Tena tunahitaji mabadiliko makubwa sana wallah
Ni bora tukawatangulia kwani si ajabu wakitangulia wao ndo ikawa basi tena kwetu.Zamu hii tukiwatangulia ndo basi tena😆😆😆
Kipi huelewi Mkuu?
Hahahaaa!! Pole Mkuu.Hawa Kagera ni nyau sana
Sure, yan saiz atakayefunga goli la tatu huyo ndo mwenye uwezekano mkubwa wa kuongeza magoli zaidi kuliko atakayekuwa anatafta kusawazisha🤔Ni bora tukawatangulia kwani si ajabu wakitangulia wao ndo ikawa basi tena kwetu.
Hakuna kitu nakipenda kwenye hizi timu mbili kama zile tambo zao, aisee ile kitu ni burudani tosha ata zaidi ya mpira wenyewe. Huwa nacheka sana nikikutana na tambo zao unakuta shabiki wa simba anasema hivi na shabiki wa Yanga anasema hivi basi ni burudani tu. Yaani utakuta ni penalti kweli lakini shabiki wa Yanga atakataa [emoji23][emoji23][emoji23] nyie acheni zile tambo zao ndio huwa nafuatilia sana hasa baada ya mechi napenda kusikia mashabiki wanasema nn. Unakuta shabiki anasema kocha hamna kitu kabisa kwann kampanga fulani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Sarpong anachezea nafasi tu ambazo si ajabu mwishowe akazijutia.Sure, yan saiz atakayefunga goli la tatu huyo ndo mwenye uwezekano mkubwa wa kuongeza magoli zaidi kuliko atakayekuwa anatafta kusawazisha🤔
Naona Sarpong anachezea nafasi tu ambazo si ajabu mwishowe akazijutia.
Hahahaaa. Hizi ndo zetu mashabiki Mkuu yaani unakuta tunajua kupanga kikosi kuliko kawaida.Hakuna kitu nakipenda kwenye hizi timu mbili kama zile tambo zao, aisee ile kitu ni burudani tosha ata zaidi ya mpira wenyewe. Huwa nacheka sana nikikutana na tambo zao unakuta shabiki wa simba anasema hivi na shabiki wa Yanga anasema hivi basi ni burudani tu. Yaani utakuta ni penalti kweli lakini shabiki wa Yanga atakataa [emoji23][emoji23][emoji23] nyie acheni zile tambo zao ndio huwa nafuatilia sana hasa baada ya mechi napenda kusikia mashabiki wanasema nn. Unakuta shabiki anasema kocha hamna kitu kabisa kwann kampanga fulani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaze aache usenge aweke mukoko mapema
Kweli kabisa. Na kutokuwepo kwake pengo kumeonekana Mkuu kwani Kagera Sugar wanapita wanavyotaka.Kaze aache usenge aweke mukoko mapema