Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210217_200015.jpg
 
Yanga n timu ya kawaida sana nashangaa mnavyoshupaza shingo timu yetu bado sana
Hatuwez chukua ubingwa HILO TUSAHAU

Mfumo wetu wa usajir n mbovu bado tunaendekeza wachezaji wa 10% had leo

Simba wana haki yakuchukua back to back 10 hatuna kipya
Hayo yote kwa sababu mpaka half time Ni 2-3?
 
Hayo yote kwa sababu mpaka half time Ni 2-3?
Ili timu ichukue ubingwa inahtaj consistent we unaona Kuna matumain yoyote Kama timu yetu ushnd wa kuunga na kumbuka tupo home mkuu tutoe ushabik pemben

Kumbuka anayetukimbiza speed yake ilivyo akishnda zote tuna anatupita na Leo tukifungwa au draw ndio bas tena najua mashabik wengi tunaaminishwa na wasemaj wetu et TUVIMBE KWA KIWANGO KIPI?
 
Hayo yote kwa sababu mpaka half time Ni 2-3?
Hii sec round hii n match ya tatu, tumeambulia sare mbili. Hatujashinda ata moja.
Ila mizimu imeniambia tutashinda
Yanga 5
Kagera 3.
Trust me😁
 
Back
Top Bottom