Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Hapan mkuu simba sc atunaga huo ujingaKama mmeona vizuri kipa alizingua kunyoosha mkono, yaani badala anyooshe mkono wote yeye kanyoosha kidogo sana. Kama hajapewa hela na simba huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapan mkuu simba sc atunaga huo ujingaKama mmeona vizuri kipa alizingua kunyoosha mkono, yaani badala anyooshe mkono wote yeye kanyoosha kidogo sana. Kama hajapewa hela na simba huyu
Yaani tunaeza wapa watu cha kutucheka hivi hivi.Kashachelewa mpaka hapo, kagera Cha pili wanarudi nyuma wote na kutumia counter kutuua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama mmeona vizuri kipa alizingua kunyoosha mkono, yaani badala anyooshe mkono wote yeye kanyoosha kidogo sana. Kama hajapewa hela na simba huyu
Mkuu hii yanga ni pasua kichwa😆😆😆 utadhan shabiki wa liverpoolNa si ajabu zikaishia hapo hapo.
Mlipeni vizuri ili asikubali kuhongwa.Kama mmeona vizuri kipa alizingua kunyoosha mkono, yaani badala anyooshe mkono wote yeye kanyoosha kidogo sana. Kama hajapewa hela na simba huyu
Tena hasa hii second round imerudi kutupasua kweli kweli. 😅😅😅Mkuu hii yanga ni pasua kichwa😆😆😆 utadhan shabiki wa liverpool
Hayo yote kwa sababu mpaka half time Ni 2-3?Yanga n timu ya kawaida sana nashangaa mnavyoshupaza shingo timu yetu bado sana
Hatuwez chukua ubingwa HILO TUSAHAU
Mfumo wetu wa usajir n mbovu bado tunaendekeza wachezaji wa 10% had leo
Simba wana haki yakuchukua back to back 10 hatuna kipya
Na si ajabu zikaishia hapo hapo.
Kagera hawezi kushinda hii game kuwa na Amani tu.Yaani tunaeza wapa watu cha kutucheka hivi hivi.
Ila tusubiri tuone Mkuu.
Weweee unaeombea tufungwe la nne. 😅😅Kagera hawezi kushinda hii game kuwa na Amani tu.
Ili timu ichukue ubingwa inahtaj consistent we unaona Kuna matumain yoyote Kama timu yetu ushnd wa kuunga na kumbuka tupo home mkuu tutoe ushabik pembenHayo yote kwa sababu mpaka half time Ni 2-3?
Hii sec round hii n match ya tatu, tumeambulia sare mbili. Hatujashinda ata moja.Hayo yote kwa sababu mpaka half time Ni 2-3?
Hahahaaa Mizimu Hahahahaaaa.Hii sec round hii n match ya tatu, tumeambulia sare mbili. Hatujashinda ata moja.
Ila mizimu imeniambia tutashinda
Yanga 5
Kagera 3.
Trust me😁
Ya mbeya mkuu😆😆Hahahaaa Mizimu Hahahahaaaa.
Ya wapi hiyo?