Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hata mi simuelewagi kwa kweli. Afadhali Feisal angejaribu kushuti mwenyewe.Hivi kazi yake huwa ni nini uwanjani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi simuelewagi kwa kweli. Afadhali Feisal angejaribu kushuti mwenyewe.Hivi kazi yake huwa ni nini uwanjani?
Sijaamn mpira muda mwingi umepoteaAiseee!! Zimeongezwa dkk 3 tu game kuisha.
Aah!! Inabidi kuzikubali tu Mkuu.Sijaamn mpira muda mwingi umepotea
Halafu ya wazi kabisa.Kwa hiyo na Leo wamekataa penalty mbili
Tukiambiwa timu yetu mbovu huwa hamuamin Kwa taarifa yako nchimbi toka afunge mwaka Jana februari 2020 hajawah funga goli ligi kuu et ndio aingie Kama game changer hahaha yanga tuna utani UBINGWA NDIO HIVYOO TENASijaamn mpira muda mwingi umepotea
Sasa Feisal analia nini jamani? [emoji848]
Anajua mwanaume simba ameshafungua turbo[emoji38]Sasa Feisal analia nini jamani? [emoji848]
Nenda ukawe kocha wewe umchezeshe..,..Kocha anambania sana Niyonzima
Hiyo penalty ina tofauti gani na tuliopigiwa kule mbeya, game mbili marefa wamechukua point 4 zetuHalafu ya wazi kabisa.
Kaogopa lawama.
Ina maana mlikuwa mnakimbizana na Simba kwenye magoli? Hapo mtani unachekesha. Simba mahali pekee pa kumuacha ni pointi, sio magoli. Magoli yuko mbali sana, na akicheza viporo atatanua zaidi wigoIla kukubali bao nyingi namna hii kunaturudisha nyuma aisee.
Mana mwisho wa siku ni sawa hakuna kitu katika kuongeza utofauti wa idadi ya mabao dhidi ya yule tunayekimbizana naye.
Niyonzima anacheza kwa kiharibu kabisa...Kocha anambania sana Niyonzima
🤷🤷🤷Sasa Feisal analia nini jamani? 🤔
Analia nini???? Ligi imeisha leo kwa Yanga Mama hamna chenu tena.Sasa Feisal analia nini jamani? 🤔