Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Hahahaha..ndio mnachokijua tu kilichobaki!VP HATUENDI KUIPOKEA AL AHLY TUPOZE MACHUNGU NDIYO JAMBO TUNALOLIWEZA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha..ndio mnachokijua tu kilichobaki!VP HATUENDI KUIPOKEA AL AHLY TUPOZE MACHUNGU NDIYO JAMBO TUNALOLIWEZA
Na kweli. Ila anakera mno.Jasho la kinafiki!
Hapo kwenye kufungwa unakosea sana mkuu wakati sisi uku bado tunajiuliza ile sare waliipataje pataje ww unaleta hapa utabiri wako wa kitopolo.Historia itaandikwa msimu huu
Kuna timu haitafungwa lakini haitakuwa bingwa
Ile ya Mustapha kule mbeya yule refa hakuogopa lawama[emoji28]Halafu ya wazi kabisa.
Kaogopa lawama.
Hili ndiyo wazo la leo !! dah utopolo hataree sanaKuna kitu natamn kuandika ila navunga. In fact tunammc sana Manji. Hawa cjui😡😡
Nakusalimia..Na kweli. Ila anakera mno.
Relax bro, there is more life than that[emoji28]Kama ujui ujui tu
Aache ujinga ushindi kwanza then ndo rotation akikomaa sana na vitini vyake vya Barcelona bongo itamshindaHalafu si mara ya kwanza hata game ya juzi na Mbeya City Kocha ndo alituuza tena.
Kesho game yenu saa ngap?Ni kosa la kiufundi kwa team kubwa kama Yanga kuruhusu goli 3 kisha kutegemea huruma ya mwamuzi. Penalty haitolewi kienyeji kwa hisia kuwa mtu kanawa(Ball to hand na Hand to Ball, itategemea mwamuzi kaonaje na wasaidizi wake)
Hivyo bado Yanga munayo safari ndefu kupambana!
Utoto mwingiSasa Feisal analia nini jamani? [emoji848]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]VP HATUENDI KUIPOKEA AL AHLY TUPOZE MACHUNGU NDIYO JAMBO TUNALOLIWEZA
Mkuu acha tu maisha tunayoish yanga simba waliyavuka miaka 4 iliyopita anagalia wasemaji wetu wanavyoongea bila fact msemaj akiongea hakuna anayeshtuka kwasababu tunawaona wa kawaida sanaHahahaha..ndio mnachokijua tu kilichobaki!
Kagera sugar naomba droo tu kutoka kwenu.
Kila la heri kwenu na kwa Biashara
In Antonio's voiceMna shaka na Yanga hii ya Sportpesa na Brrrrrrrrrrand chapa
GSM.
[emoji196]