Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Sisi kama simba inabidi tubadilishe watani wa jadi ninyi hamna sifa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh jamani Manji gani tena.. Si mnasema ni timu ya wananchi??Kuna kitu natamn kuandika ila navunga. In fact tunammc sana Manji. Hawa cjui😡😡
Leo anazaliwa mwanamama wa shoka KIBOKO WA TIMU MBOVU ambazo kila SIKU haziishiwi lawama.View attachment 1705475
Sasa huyu humu amefwata nini????[emoji35][emoji35][emoji35]
Sijambo Kaka.Nakusalimia..
Hata sijapajua bado Mtani.Round ya pili imekua Round ya pili , mnafeli wapi
Tumekuja kuuchomoa huo mwiko mulioupachika huko NyumaMBUMBUMBU wanafuata nini huku?
Tatizo lenu namba moja , hamjawa tayari kutulia na kutengeneza timu ya ushindani , lkn pia hamna falsafa ya club inayoeleweka , kila kocha akija anaanza moja kabisa , huyu anatumia mipira mirefu , mwingine winga, mwingine mpira birian na hata kwenye usajili , hamfanye upgrade ya wachezaji , karibu wote wanaokuja n sawa na wale waliopoHata sijapajua bado Mtani.
Japo kwa mbaali naona Kocha naye anatufelisha saa ingine.
Mara paap suluhu nyingine , nitacheka Mimi
Najua ndo mnaombea iwe hivyo.Mara paap suluhu nyingine , nitacheka Mimi
Tumeshapata point zetu 3, japo kwa shida sana maana watoto walikaza sana. Tukiwa na mech 2 mkononi na pys 42 tukiwa tumezidiwa na watani pts 4 tu, tunahitaji ushindi mechi 1 na draw 1 kuwa sawa na Mtani, lakini tukiongoza Goal Difference!Kesho game yenu saa ngap?
Pressure mliyonayo saivi , msipokua makini mtajikuta mnayumba ghafla mkija kukaa sawa mnakuta mlishapotea zamanNajua ndo mnaombea iwe hivyo.
Lakini niseme Mtibwa si ngumu kihivyo tukikaza na Kocha akipanga kikosi cha kueleweka naamini matokeo tunapata.
Nakubaliana na wewe kabisa kama Yanga ikiamua tu ndani ya miaka 3 ijayo itakuwa Club Tajiri,kwa mfanoWakuu, mnajua soka la Tanzania na kusini mwa Afrika kwa ujumla linahitaji mabadiliko.
Kwa sasa tunahitaji mtaalam wa soka wa nje ya (kutoka nchi zilizoendelea) kuja kufanya utafiti na kuunda upya soka la Tanzania.
Katika kuunda mifumo mipya ya ligi au kuiimarisha kiundeshaji Ligi kuu ndio itakuwa inajiendesha yenyewe ikiwa na mwakilishi kutoka katika kila timu inayoshiriki katika bodi ya wakurugenzi.
Hawa watachagua utawala ambao ni lazima uwe wa wataalam.
Nafikiri kwa sasa soka la Afrika limekaa mkao wa kula na kila mtu anaona kwamba hapo ni ulaji tu.
Mnajua kwa mfano, Yanga ikiwa na washabiki nchi nzima tuseme 250,000 kwa kuanzia na hawa wakawa shareholders na kila mtu akawa ameweka Tshs 20,000 si unaweza kuwa ni mtaji wa kuanzia Yanga FC mpya yenye mtizamo wa kibiashara?
Na kwa kuanzia Yanga itajenga uwanja wake mpya au kupanua uliopo na hii itasaidia timu hii kuwa na revenue ya kuisukuma katika shughuli zake za kila siku baada ya kulipa kodi na mambo mengine kule TFF.
Uwanja huo pia utaleta revenue kutokana na kodi ya pango kwa wale wataokodi sehemu mbalimbali kuzunguka uwanja huo na hata kwa kuazima sehemu fulanifulani kwa ajili ya functions au hata kuwa na mgahawa au hoteli karibu au ndani ya uwanja huo.
Ni lazima wana Yanga na wengine wa Simba na timu zingine wakubali kuwa inabidi tubadilike, maendeleo si katika siasa tu bali ni hata katika michezo kwani pia ajira zinapatikana humohumo na mengine.
Msingi mkuu wa kukua kiwango cha soka la Tanzania ni kwa kila timu kuwa na uwanja wake na kuwa na professional soccer na Yanga ikianza timu zote zitafuata.
Ni hayo tu kwa sasa.
Naimani tutakaa sawa japo hii itaendana na matokeo ya Uwanjani.Pressure mliyonayo saivi , msipokua makini mtajikuta mnayumba ghafla mkija kukaa sawa mnakuta mlishapotea zaman