Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kuna kitu natamn kuandika ila navunga. In fact tunammc sana Manji. Hawa cjui😡😡
 
Nadhani sasa Yanga wanaanza kuelewa kwa nini hawastahili kuwa mabingwa hata kwa misimu miwili ijayo
 
Ni kosa la kiufundi kwa team kubwa kama Yanga kuruhusu goli 3 kisha kutegemea huruma ya mwamuzi. Penalty haitolewi kienyeji kwa hisia kuwa mtu kanawa(Ball to hand na Hand to Ball, itategemea mwamuzi kaonaje na wasaidizi wake)
Hivyo bado Yanga munayo safari ndefu kupambana!
Kesho game yenu saa ngap?
 
Hahahaha..ndio mnachokijua tu kilichobaki!
Mkuu acha tu maisha tunayoish yanga simba waliyavuka miaka 4 iliyopita anagalia wasemaji wetu wanavyoongea bila fact msemaj akiongea hakuna anayeshtuka kwasababu tunawaona wa kawaida sana

Manara Akisema ana press conference Leo nch nzima inashtuka miaka ya leo s ya kwenda kumpokea mchezaj na matarumbeta mchezaj anapigiwa tarumbeta baada ya kazi kuonekana uwanjani eng hersi akisema kifaa kinakuja watu wanaamin kweli wanajazana uwanjani ndan ya miaka 2 yanga imesajili wachezaji Zaid ya Kumi na kuwaacha hiii yote n hasara kwa klabu maana yake hakuna vetting inayofanyika ili kupata wachezaj Bora

Makamu mwenyekiti akawadangaja washabik kuwa kesi ya Morrison ipo FIFA had leo hakuna jipya yanga imejaa janja janja na wasio na weled wa mpira

Dr tibolowa alionesha vision ya namna ya kuiongoza yanga lakn hawakumuona badala yake wamechagua walichokipata leo ukimuangalia vizur chairman wa yanga n Kama rubber stamp tu pale anaendeshwa hata na Nugaz kisa yupo jiran na GSM hana neno lolote

Wenzetu wanasonga mbele kimataifa sisi tunapambana hapa ndani kushndana na kagera sukar kumbuka gemu ijayo mtibwa
 
Back
Top Bottom