Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sijaamn mpira muda mwingi umepotea
Tukiambiwa timu yetu mbovu huwa hamuamin Kwa taarifa yako nchimbi toka afunge mwaka Jana februari 2020 hajawah funga goli ligi kuu et ndio aingie Kama game changer hahaha yanga tuna utani UBINGWA NDIO HIVYOO TENA

#VIMBA MWANA YANGA MWENZANGU
 
20210217_205954.jpg
 
Ila kukubali bao nyingi namna hii kunaturudisha nyuma aisee.

Mana mwisho wa siku ni sawa hakuna kitu katika kuongeza utofauti wa idadi ya mabao dhidi ya yule tunayekimbizana naye.
Ina maana mlikuwa mnakimbizana na Simba kwenye magoli? Hapo mtani unachekesha. Simba mahali pekee pa kumuacha ni pointi, sio magoli. Magoli yuko mbali sana, na akicheza viporo atatanua zaidi wigo
 
Hili jasho analotoka Kocha veepe.

Timu kaiharibu kwa kuanzisha wachezaji wasioeleweka sasa anatoka jasho la kazi gani. Mmmxxxiiieww.
 
Nilishawaambia mlikuwa mnashinda kwa bahati na bahati yenyewe ishaanza kuwakimbia, technically mna timu ya kawaida sana.
 
Back
Top Bottom