Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yaani hawa Kagera ushindi ni wao sema tu hawa nyau wanazingua sana
 
Kama mmeona vizuri kipa alizingua kunyoosha mkono, yaani badala anyooshe mkono wote yeye kanyoosha kidogo sana. Kama hajapewa hela na simba huyu
 
Yanga n timu ya kawaida sana nashangaa mnavyoshupaza shingo timu yetu bado sana
Hatuwez chukua ubingwa HILO TUSAHAU

Mfumo wetu wa usajir n mbovu bado tunaendekeza wachezaji wa 10% had leo

Simba wana haki yakuchukua back to back 10 hatuna kipya
 
Kinacho huzunisha na kufurahisha magoli yote matatu ni ya ukweli hakuna wa kumlaumu leo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom