Hbr wana jf,
Nimechoshwa na huu utumwa kila nikija jamvini nakutana na threads km hz
man u special thread
the r madrid special thread n.k!
Kwanini nasi tusiwe na thread za timu zetu?km simba s.c special thread aka mikia fc.azam fc special thread na bila kusahau MGAMBO FC special thread.
Dar young africans DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Waliohama simba hawapotei,,,,,,Sisi ndanda fc.. Ndanda kuchele toka nangwanda sijaona tuna Uzi wetu maalumu.. Kumbe yeboyebo hamna,, hahahahahah
Waliohama simba hawapotei,,,,,,
Sisi ndanda fc.. Ndanda kuchele toka nangwanda sijaona tuna Uzi wetu maalumu.. Kumbe yeboyebo hamna,, hahahahahah
Kumbe Uzi upo!??? Mbona ulikua kimya sana.
Hahahahahah Simba ndo chama langu.. Ndanda kuchele majirani zangu na sasa vijana wa nyumbani MAJIMAJI F.C yupo ligi kuu raha sana
Tatizo lenu wanalizombe mnakuja na kurudi,Kumbe Wewe ni mwanalizombe mwenzangu
kesho mgambo wakifungwa hata3 tu zitawatosha sana
Ngumu sana
Ngumu sana
Ushindi leo ni 2-0
Ngumu sana
yanga imara...
yanga Daima mbele ...