Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sisi ndanda fc.. Ndanda kuchele toka nangwanda sijaona tuna Uzi wetu maalumu.. Kumbe yeboyebo hamna,, hahahahahah

Kumbe Uzi upo!??? Mbona ulikua kimya sana.
 
Hbr wana jf,
Nimechoshwa na huu utumwa kila nikija jamvini nakutana na threads km hz
man u special thread
the r madrid special thread n.k!
Kwanini nasi tusiwe na thread za timu zetu?km simba s.c special thread aka mikia fc.azam fc special thread na bila kusahau MGAMBO FC special thread.
Dar young africans DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

hili jukwaa lipo hapa...
 
Sisi ndanda fc.. Ndanda kuchele toka nangwanda sijaona tuna Uzi wetu maalumu.. Kumbe yeboyebo hamna,, hahahahahah

Kumbe Uzi upo!??? Mbona ulikua kimya sana.

nasikia huko kabla ya mechi mnatafuna Panya?
 
Ashukuriwe aliyeufufua huu uzi wa Yanga special thread.
Leo Yanga piga hao Mgambo wakapige kwata vizuri, Yanga daima mbele, nyuma mikia...
 
Back
Top Bottom