Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo anazaliwa mwanamama wa shoka KIBOKO WA TIMU MBOVU ambazo kila SIKU haziishiwi lawama.
 
IVI KWANINI NCHIMBI NA NYAVU WASIKAE
CHINI NA KUMALIZA TOFAUTI ZAO
 
Hata sijapajua bado Mtani.

Japo kwa mbaali naona Kocha naye anatufelisha saa ingine.
Tatizo lenu namba moja , hamjawa tayari kutulia na kutengeneza timu ya ushindani , lkn pia hamna falsafa ya club inayoeleweka , kila kocha akija anaanza moja kabisa , huyu anatumia mipira mirefu , mwingine winga, mwingine mpira birian na hata kwenye usajili , hamfanye upgrade ya wachezaji , karibu wote wanaokuja n sawa na wale waliopo

Tulien mtengeneze timu , Simba ilitengenezwa msimu miwili mfululizo , wakatolewa viazi wakaletwa watu wa maana tupu , since then , karibu kila anaekuja ni bora kuliko alieoko
 
Mara paap suluhu nyingine , nitacheka Mimi
Najua ndo mnaombea iwe hivyo.

Lakini niseme Mtibwa si ngumu kihivyo tukikaza na Kocha akipanga kikosi cha kueleweka naamini matokeo tunapata.
 
Kesho game yenu saa ngap?
Tumeshapata point zetu 3, japo kwa shida sana maana watoto walikaza sana. Tukiwa na mech 2 mkononi na pys 42 tukiwa tumezidiwa na watani pts 4 tu, tunahitaji ushindi mechi 1 na draw 1 kuwa sawa na Mtani, lakini tukiongoza Goal Difference!
 
Najua ndo mnaombea iwe hivyo.

Lakini niseme Mtibwa si ngumu kihivyo tukikaza na Kocha akipanga kikosi cha kueleweka naamini matokeo tunapata.
Pressure mliyonayo saivi , msipokua makini mtajikuta mnayumba ghafla mkija kukaa sawa mnakuta mlishapotea zaman
 
Nakubaliana na wewe kabisa kama Yanga ikiamua tu ndani ya miaka 3 ijayo itakuwa Club Tajiri,kwa mfano
Wanachama 250 wakilipa 20,000 ni sawasawaa na kupata 5 billioni
Wanachama 250,000 wakilipa 20,000 ni sawasawa na kupata 25 billioni
Wanacahama 1,000,000 wakilipa 50,000 ni sawasawa na kupata 50 billioni-Uwanja wa watu 30,000;Hosteli na Maduka
Wanachama 1,000,000 wakilipa 100,000 ni sawasawa na kupata 100 billioni -Uwanja wa watu 60,000;Hosteli na Maduka
 
Pressure mliyonayo saivi , msipokua makini mtajikuta mnayumba ghafla mkija kukaa sawa mnakuta mlishapotea zaman
Naimani tutakaa sawa japo hii itaendana na matokeo ya Uwanjani.

Ikitokea tumefanya vizuri mechi kadhaa basi imani ya mashabiki itarudi kwa uongozi pamoja na benchi la ufundi.
 
Fredrick Lugano Mwakalebela ametoa tamko huko Hahahahahahahahahhahahahahahahahah.

Wananchi maji yamefika shingoni sasa.
 
"Salah la Bernard Morison tumeshapeleka malalamiko yetu kwa TFF kuwa kuna mkataba feki tunaomba tuitwe kudhibitisha lakini hatujaitwa,ila la mtu wetu Hassan Bumbuli limefanyiwa kazi na akafungiwa kiukweli tunashangaa"Mwakalebela.


NOTE.
Kwahiyo kumbe CAS Hakuna kesi ya MORRISTON kesi imerudi TFF tena .

Ni aibu timu kuwa na Makapu Mwenyekiti tapeli kama Mwakalebela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…