Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sijui waliupataje uongoz yeye na mwenyekiti ukikaa vzur kuwachunguza kwa umakin kuna tuvitu wanakosa hawa watu hawana ile kitu inaitwa leadership character

Next time hope tutatulia kuchagua viongoz wanaoeleweka kwa Sasa tuvumilie tu wanayanga wenzangu

Alisema suala la BM3 tarehe 12 litakuwa tayar huko FIFA kaona haiwezekan Sasa anakuja na ngonjera zake

ukwel n kwamba kocha nae n kimeo kabisa itafka wakat hata hawa wafadhir tutawatafuta kwa tochi hapo ndio timu itakuwa yakawaida Kama fc leopard ya Kenya

#TUENDELEE KUVIMBA AU TUACHE
 
Mkuu , Kocha nae kimeo ? Ningetaman udadavue hapo
 
Hivi Kagera sugar na mtibwa sugar ni ndugu[emoji16][emoji16][emoji16].
ILA Kwa kweli tff wanawafanyia hujuma yanga.kwanini sugar zimeongozana?
Juzi Kagera sugar kesho mtibwa sugar.
Wanapoelekea hawa jamaa watakunywa chai na chumvi
 
Hili ni genge la vichaa! Yani Mwakalebela ameshawafanya hawana akili kabisa na wao wanamfuata tu kwa kila anachowadanganya.
 
Kwa mujibu wa Babu mnajimu,mkeka wangu nawapa Mtibwa Sugar mapemaaaa.
Babu ajawai niangusha huyu Mzee.
 
Matarajio yetu kesho itakuwa mwisho wa kuiona yanga ligi kuu.
Maana Mzee wenu amesema mkifungwa au kudroo mnajitoa ligi
Naona mnafuatilia sana habari za Yanga kwa ukaribu eee.

Kuna uzi kule mikia mmejazana weee wenye kuponda mmeponda , wenye kupaka wamepaka mumeona havitoshi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sina jibu Mtani labda tumtag huyo mzee aliyesema.
 
Sasa itakuwa unapingana na kiongozi wenu
Naona mnafuatilia sana habari za Yanga kwa ukaribu eee.

Kuna uzi kule mikia mmejazana weee wenye kuponda mmeponda , wenye kupaka wamepaka mumeona havitoshi. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sina jibu Mtani labda tumtag huyo mzee aliyesema.
 
Sasa itakuwa unapingana na kiongozi wenu
Poleni Mtani.

Japo tu yule mnayemuona hamnazo kwa kiwango chake cha ufikiri ameona alichokiongea ni sahihi kama nyie mlivyokujaga na mascreen kuonyesha namna mnaonewa na waamuzi miaka hiyo.

Au mmesahau?
 
Sasa itakuwa unapingana na kiongozi wenu
Na tuseme tu tambo zote hizi mnazoziletaga ni vile Yanga ipo Ligi kuu ikitokea ikajitoa kama mnavyotamani Tanzania kutakuwa na mfano wa Ligi na si Ligi mana nyie wenyewe bila Yanga si lolote si chochote.

Au yupo ambaye mnaeza muongelea mkaonekana mmeongea zaidi ya kuiongelea Yanga?
 
ILA nyie Kwa lawama mmezidi.kila SIKU mnaonewa nyie Tu.
Timu mbovu hyo
Poleni Mtani.

Japo tu yule mnayemuona hamnazo kwa kiwango chake cha ufikiri ameona alichokiongea ni sahihi kama nyie mlivyokujaga na mascreen kuonyesha namna mnaonewa na waamuzi.

Au mmesahau?
 
Timu yenu yenyewe mbovu haina hata ushindani.
Sisi tunakaa na akina Al ahly meza moja kupanga mipango ya maendeleo.sio yanga
 
Timu yenu yenyewe mbovu haina hata ushindani.
Sisi tunakaa na akina Al ahly meza moja kupanga mipango ya maendeleo.sio yanga
Ooh!! Muachage kutuongelea sasa.

Muwaongelee hao Al Ahly ambao kikawaida hamuwapati hata robo. Teh.
 
Yanga ndo mnapenda kuwawaza Simba.
Na lawama zote hizo ni sababu Simba anakuja Kwa Kasi.
Al ahly alikuwa zamani sio sasa anafungika tu
Ooh!! Muachage kutuongelea sasa.

Muwaongelee hao Al Ahly ambao hamuwapati hata robo. Teh.
 
Naona mnafuatilia sana habari za Yanga kwa ukaribu eee.

Kuna uzi kule mikia mmejazana weee wenye kuponda mmeponda , wenye kupaka wamepaka mumeona havitoshi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sina jibu Mtani labda tumtag huyo mzee aliyesema.
mmejisahau mlivyokuwa mmefungua nyuzi wakati Simba inataka kucheza na vita mtafikiri mmepewa uraia wa Kongo au mmesahau ,livyokuwa mnazipokea timu zilizokuwa zinakuja kucheza na Simba ila mlikuwa mkisahau kuzisindikiza baada ya malengo yenu kushindwa kutimia
 
Yanga ndo mnapenda kuwawaza Simba.
Na lawama zote hizo ni sababu Simba anakuja Kwa Kasi.
Al ahly alikuwa zamani sio sasa anafungika tu
Doooh!!

Kama saa hii nani ana homa mana ikibidi kujitoa kasema Yanga lakini nyie huko ndo viti havikaliki. Lol

Yaani umeanzishwa uzi nyie ndo mmejazana kuponda as if Simba ndo imetoa hiyo kauli. Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…