Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Sijui waliupataje uongoz yeye na mwenyekiti ukikaa vzur kuwachunguza kwa umakin kuna tuvitu wanakosa hawa watu hawana ile kitu inaitwa leadership character"Salah la Bernard Morison tumeshapeleka malalamiko yetu kwa TFF kuwa kuna mkataba feki tunaomba tuitwe kudhibitisha lakini hatujaitwa,ila la mtu wetu Hassan Bumbuli limefanyiwa kazi na akafungiwa kiukweli tunashangaa"Mwakalebela.
NOTE.
Kwahiyo kumbe CAS Hakuna kesi ya MORRISTON kesi imerudi TFF tena .
Ni aibu timu kuwa na Makapu Mwenyekiti tapeli kama Mwakalebela.
Next time hope tutatulia kuchagua viongoz wanaoeleweka kwa Sasa tuvumilie tu wanayanga wenzangu
Alisema suala la BM3 tarehe 12 litakuwa tayar huko FIFA kaona haiwezekan Sasa anakuja na ngonjera zake
ukwel n kwamba kocha nae n kimeo kabisa itafka wakat hata hawa wafadhir tutawatafuta kwa tochi hapo ndio timu itakuwa yakawaida Kama fc leopard ya Kenya
#TUENDELEE KUVIMBA AU TUACHE