Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tunataka tuone ahadi ikitimia.
Maana kesho kushinda ni ngumu labda droo
Doooh!!

Kama saa hii nani ana homa mana ikibidi kujitoa kasema Yanga lakini nyie huko ndo viti havikaliki. Lol

Yaani umeanzishwa uzi nyie ndo mmejazana kuponda as if Simba ndo imetoa hiyo kauli. Teh
 
Vikizidi hamna jinsi.

Semeni mnavyosema lakini soka la Tanzania upande wa waamuzi unaendeshwa kwa maelekezo.
Yaani mwamuzi alielekezwa golikipa wenu apigwe zile goli 3 nanyi mukawa munajikongoja kwa kusawazisha? Ingekua nyie ndiyo muliokua muna anza kushinda na Kagera Sugar wakasawazisha kidogo ingesound though siyo sana. Team yenu inaruhusu magoli, na hilo liko bayana.
 
Haya maelekezo mnayowapa waamuzi mkisaidiana na tff yenu kuna siku mtasababisha maafa!
 
Doooh!!

Kama saa hii nani ana homa mana ikibidi kujitoa kasema Yanga lakini nyie huko ndo viti havikaliki. Lol

Yaani umeanzishwa uzi nyie ndo mmejazana kuponda as if Simba ndo imetoa hiyo kauli. Teh
Yanga ni timu kubwa kuliko Simba ila upepo Wa kucheza kimataifa ndio unaowafanyanya nao wawe kama wanataka kulingana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…