Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazo nyingi kama hiyo niliyoweka
Doooh!!
Kama saa hii nani ana homa mana ikibidi kujitoa kasema Yanga lakini nyie huko ndo viti havikaliki. Lol
Yaani umeanzishwa uzi nyie ndo mmejazana kuponda as if Simba ndo imetoa hiyo kauli. Teh
Sijui kesho mtahamia ligi ya nchi gani
Basi tuisubirie hiyo kesho Mtani.Tunataka tuone ahadi ikitimia.
Maana kesho kushinda ni ngumu labda droo
Itajulikana hiyo kesho. TehSijui kesho mtahamia ligi ya nchi gani
Itajulikana hiyo kesho. Teh
Basi tuisubirie hiyo kesho Mtani.
Japo pia nikwambie kama nimkeka ushaliwa hapa.
Tupinge 😎kesho hamtoki
Yaani mwamuzi alielekezwa golikipa wenu apigwe zile goli 3 nanyi mukawa munajikongoja kwa kusawazisha? Ingekua nyie ndiyo muliokua muna anza kushinda na Kagera Sugar wakasawazisha kidogo ingesound though siyo sana. Team yenu inaruhusu magoli, na hilo liko bayana.Vikizidi hamna jinsi.
Semeni mnavyosema lakini soka la Tanzania upande wa waamuzi unaendeshwa kwa maelekezo.
Haya munaongeza nyie.Baba keshasema.droo au kufungwa lazma muhame ligi
Hahahahahahahahh......Ngoja kesho Mtibwa nakuhakikishia kesho ni droo nyingine tena.Vikizidi hamna jinsi.
Semeni mnavyosema lakini soka la Tanzania upande wa waamuzi unaendeshwa kwa maelekezo.
Haya maelekezo mnayowapa waamuzi mkisaidiana na tff yenu kuna siku mtasababisha maafa!Yaani mwamuzi alielekezwa golikipa wenu apigwe zile goli 3 nanyi mukawa munajikongoja kwa kusawazisha? Ingekua nyie ndiyo muliokua muna anza kushinda na Kagera Sugar wakasawazisha kidogo ingesound though siyo sana. Team yenu inaruhusu magoli, na hilo liko bayana.
Nyie waganga ndio mmeshapiga ramli hivyo!?kesho hamtoki
Yanga ni timu kubwa kuliko Simba ila upepo Wa kucheza kimataifa ndio unaowafanyanya nao wawe kama wanataka kulinganaDoooh!!
Kama saa hii nani ana homa mana ikibidi kujitoa kasema Yanga lakini nyie huko ndo viti havikaliki. Lol
Yaani umeanzishwa uzi nyie ndo mmejazana kuponda as if Simba ndo imetoa hiyo kauli. Teh