Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Gape la point tano kwa simba ni kubwa sana hasa ukizingatia yanga wataendelea kudroo na kufungwa
 
Kitu pekee alichonacho Shikaro ni confidence tu.
Ila Aerial ball hamna kitu, Long range shoot save ndo hamna kabsa
 
Kuna watu humu ukiikosoa yanga unaonekana mchawi nadhan Sasa tutazungumza lugha moja YANGA mtibwa iliyochangamka
 
Duh, kweli inaumiza sana yaani mpaka Shadeeya amepotea jukwaani? Kazi ipo! Hawa jamaa haina maana tena kuendelea kuwaweka kambi za gharama kubwa! Bora warudishwe tu pale matopeni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…