Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hahaha akil znawakaa Sasa waliponad sera zao hatukuwaona ubingwa wa simba na yanga inategemea nani yupo kwenye kiti kikuu pale tffLigi ikiisha kuna haja ya kuwatathimini kwa kina sana viongozi wetu. Kuna wengine hawafai kuwa viongozi Wa timu kubwa kama Yanga
Enz za malinz yanga juuuu
Enz za kariaa simba juuu
Tupambane tumuweke mtu wetu akae juu pale tff vingnevyo ndio Isha Isha hyo