Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaachaje tena jamani wakati uwanjani tulikwenda na kanzu zetu tena jamani?Si tulisema tumeacha jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani c unajua ugali bila mboga si lolote😆😆😆😆,Tutaachaje tena jamani wakati uwanjani tulikwenda na kanzu zetu tena jamani?
Mboga gani tena jamani?Jamani c unajua ugali bila mboga si lolote[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],
Nyinyi simba ni kama ugali, jana mliletewa matunda, yan al ahly, sasa sisi yanga kama mboga tutakosaje hapo jamani😁😁😁Mboga gani tena jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mwendo huu kweli brand inadhalilishwaView attachment 1711778
Matokeo vipi hukoKaze anaendelea kutuaminisha kwamba forward mkabaji Nchimbi Ni Bora kuliko carlinhos
Hii game ni rahisi sana kiasi kwamba Mukoko, Kisinda, Lamine, Kibwana hawatakiwi kuwa hata sub
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Yanga 1 KenGold 0 FTMatokeo vipi huko
Nchimbi ana mwaka hajafunga halafu unamfananisha na Mo SalahMkuu twende tukaomboleze Kule Liverpool tumepigwa tena nyumbani! Hapo ndipo hata hizi timu zetu tuziheshimu tu, kama Salah, Mane na Firminho hawawezi kufunga tena kwa nini tuwalaumu akina Nchimbi?
Nadhani alikuja nayoUwiii!! Hivyo kaumia kabla akiwa huko alikotoka au baada ya kufika kwa wananchi?