Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210220_210749.jpg
 
Tumeshinda ila natoka uwanjani nikiwa nimeloa jasho kabisa na kauchovu ,washambuliaji wanatupa wakati mgumu sana kwenye haya mapambano ya title
 
Kuna Uto tokea jana siwaoni wakikatisha kwenye hii Mitaa
Mkuu twende tukaomboleze Kule Liverpool tumepigwa tena nyumbani! Hapo ndipo hata hizi timu zetu tuziheshimu tu, kama Salah, Mane na Firminho hawawezi kufunga tena kwa nini tuwalaumu akina Nchimbi?
 
Wacha wazoeane bwana!
Ningekuwa mm ndo kocha. Alafu timu yangu iwe na mkwanja. Bc wangeniwia radhi. Sarpong hatujaanza nae saiz, kacheza mechi nyingi sanaa tofaut na fistoni. Mchezaji mzur utamjua tu kwa msimu mmoja, huwez kusubiria hadi misimu mitatu ukitegemea mazuri. Kiukweli kufunga hayupo, labda kuzifanya beki zimwogobe tu mana ana uwezo wa kumilik sana mpira pind akiwa nao. But kwenye kufunga hayupo.
Kinachotubeba msimu huu almost kila mchezaji aliyepo uwanjani probability ya kufunga ni 50/50 ambapo kwa kiasi fuln n kizuri but ni lazima tuwe na forwad zenye macho. Pind tukikutana na club kubwa matokeo hayawez kuamliwa na mabek coz hawatapanda viungo wataogopa lawama za mabaki nk.
Mpira nimecheza najua yaliyomo uwanjani.
But kwa sasa hatuna budi kuwapa muda maana no way out.😁
 
Back
Top Bottom