Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ligi ikiisha kuna haja ya kuwatathimini kwa kina sana viongozi wetu. Kuna wengine hawafai kuwa viongozi Wa timu kubwa kama Yanga
Hahaha akil znawakaa Sasa waliponad sera zao hatukuwaona ubingwa wa simba na yanga inategemea nani yupo kwenye kiti kikuu pale tff

Enz za malinz yanga juuuu

Enz za kariaa simba juuu

Tupambane tumuweke mtu wetu akae juu pale tff vingnevyo ndio Isha Isha hyo
 
Yaaaani kwa akili hizi za Utopolo, Yanga itaendelea kua genge la wahuni.
Jaribu kukubali kua Simba saizi inafanya vizuri kitaifa na kimataifa ni kwa sababu ya uwekezaji wa MO.
Angalieni nyie Utopolo kipindi hicho mnachukua ubingwa Mara tatu mfululizo ( ubingwa wa Malinzi) Ndio maana mlikua hamfanyi vzri kimataifa.
Saizi mnasema Simba inapata ubingwa kisa TFF, Je Kwenye CAF championship TFF wapo? Maana ndani ya miaka mitatu Simba imeingia group stage Mara mbili. Kitu ambacho hakijawahi tokea kwenye timu za TZ,. Tafuteni mabadiliko, acheni kuwalalamikia TFF. Walalamikieni hata ambapo timu yenu inapata favour kutoka kwa marefa
 
Hii timu yangu viongozi wanatuangusha sana yan! leo nmeona tangazo Twitter la press, nkasema nifuatilie labda kuna kitu kipya, bado mindset za viongozi wa hii timu zipo kwenye bakuli mpaka sasa hakuna jipya[emoji23], Msola na Mwakalibela sijui wanakwama wapi, tulifeli kutokumchagua Dr. Tiboroha.
 
dah, yan ni shida!
 
nilishangaa sana hasa makundi Ya Yanga whatsAp walivoanz kumponda Dk tibo et apite uyu Msola ya tushafeli muda sana
 
Msola hamna kitu, hana vision, style zake za uongozi siyo za zama hizi.
Msolwa toka mwanzo wakat wa kampen akili zake zilikuwa n kuchangishana pesa ili timu isonge mbele nadhan alikuwa na watu fulan fulan nyuma wenye influence

Hata wakat wa kampen ukiangalia BLUEPRINT YAKE ilikuwa s yakuikwamua yanga iende mbele ukimsikilza kuhusu suala la mabadiliko hata anachokizungumza hakieleweki n Bora Eng hersi akikuelezea utamuelewa kuliko hyu Dr

Dr Tibo simjui vizur ila BLUEPRINT yake iliwashawishi wengi anapanga mambo kiustad na weled na kimkakati timu yake ilkkuwa well organized nadhan ilikosa influence people ambao wangempigia debe zaidi

Ukikaa kumsikilkza bwana Mwakalebela na drama zake unaweza zimia unajiuliza huyu mtu alipataje cheo hiki na kile cha katibu sijui makamu wa tff huyu bwana siku Morrison akifunga naye anakurupuka alikotoka
Hana majibu ya wanna yanga juu ya zile kesi lakn bado anathubutu kutoka hadharan na kuongea vitu non sense

Mpira unahtaj pesa huwez fanya fundraising kwa klabu Kama yanga mara mbili mfululizo bila kileta mrejesho wa fundraising ya kwanza imefanya nn na
matokeo n yapi

Pia warekebishe mfumo wa kutambua mashabiki kidijital il waset mfumo mzur ambao hata mm wa nakahegwa huku songea vijjin nitambulike na niweze kuchangia kias hicho cha pesa kupitia kad maalum ambayo iko connected na mitandao ya simu
Simba inapiga hatua katika suala la mashabiki social media zao kupitia kitengo cha habar kinatoa mvhango mkubwa kupitia YouTube wameanza kupata magawio pia hata msemaji wao kipato anapata kupitia social media zake ameitangaza simba na simba imemtangaza yeye makampun makubwa yanatangaza naye jiulize BUMBULI n msemaj wa YANGA lakn Gsm wanatangaza na MANARA kupitia bidhaa zao huku msemaj wa YANGA hana jina Hilo amepigwa fainj juz kulipa ilikuwa mbinde had GSM walipomlipia

Hatujachelewa mabadiliko yanahtaj muda na fedha ila kwa mindset za viongoz hawa kutoboa n kaz sana hasa watu Kama akina mwakalebela
 
Tangu timu yetu ondoke Mwambusi, kila kitu kimechange, spirit imeshuka.......yaani nikama tunabahatisha tu......sioni kama tunaweza kuchallenge ubingwa this season.....nimeangalia hii mechi ya Kengold pale Uhuru leo, na kitimu kile kidogo kabisa, sioni mafanikio yoyote this season kama kutakuwa hakuna mabadiriko ya haraka.......kocha bado hawajui wachezaji wake,kila siku anatest test tu.......anyway soon naona hii safari ya kwenda uwanjani nitapumzika....kila siku sioni jipya kwa Kaze na Benchi lake.........
Ongeeni na huyo mzee arudi
 
Bora wewe unasema ukwel mchungu timu yetu haioneshi mabadiliko Zaid wachezaj wanajichezea tu hakuna spirit ya upambanaji

N vizuri kikosoa timu inapofanya vibaya na s kuitetea kkabu wakat timu inaonekana inaenda kipotea

Mzaha mzaha ipo siku yanga itakuwa timu yankawaida sana Kama ruvu shooting Kama hatua haztochukuliwa mapema
Mchezaj ana mwaka hajafunga lakn ndio tegemeo la timu yetu kila mech yupo maana yake tumeishiwa hatuna namna
 
Mkuu kila mechi ya dsm asilimia kubwa naziangalia game pale uhuru au taifa, honestly, huwezi kuwa na amani 90 minutes cos mechi nyingi tunacheza ovyo kwenye final third as if ni wachezaji wa mchangani......
 
kuna mahali benchi la ufundi wanakwama, na hili nlitegemea kutokana na kuajiri watu wasiyo wazoefu....wachezaji wanashuka viwango na hawajiamn kabisa.
 
Bora wewe unasema ukwel mchungu timu yetu haioneshi mabadiliko Zaid wachezaj wanajichezea tu hakuna spirit ya upambanaji

N vizuri kikosoa timu inapofanya vibaya na s kuitetea kkabu wakat timu inaonekana inaenda kipotea

Mzaha mzaha ipo siku yanga itakuwa timu yankawaida sana Kama ruvu shooting Kama hatua haztochukuliwa mapema
Mchezaj ana mwaka hajafunga lakn ndio tegemeo la timu yetu kila mech yupo maana yake tumeishiwa hatuna namna
Mimi nafkir tatzo kubwa lipo kwa kocha, mind ishabadlika anaamini sana kwenye kujirinda

Sababu kubwa ya kumpanga foward ambae assist hatoi wala hafungi magoli ni kwamba atasaidia team kwenye kukaba

Pili kocha hajiamn tena, mfano Simba wao game ya jana Chama, Miqquissone, Wawa, Lwanga etc wote wameanza na wataanza tena game ya Sudan ukicheki hapo kutoka Jana mpka game ya El merrikh ni siku 5. Ila Mh Kaze yeye ni kupumzisha wachezaji tu baada ya kucheza mara kwa mara na kuzoeana ili watengeneze pattern, Sasa sijui huwa anawapumzisha ili hizo nguvu wakaztumie kwenye sex na mademu zao
 
Kaze n defensive minded coach Sasa wanayanga wanataka timu yao ioneshe mpira mzur expansive football hana muda na yeye ataondoka labda abadirike
 
Mimi nafkir tatzo kubwa lipo kwa kocha, mind ishabadlika anaamini sana kwenye kujirinda

Sababu kubwa ya kumpanga foward ambae assist hatoi wala hafungi magoli ni kwamba atasaidia team kwenye kukaba

Pili kocha hajiamn tena, mfano Simba wao game ya jana Chama, Miqquissone, Wawa, Lwanga etc wote wameanza na wataanza tena game ya Sudan ukicheki hapo kutoka Jana mpka game ya El merrikh ni siku 5. Ila Mh Kaze yeye ni kupumzisha wachezaji tu baada ya kucheza mara kwa mara na kuzoeana ili watengeneze pattern, Sasa sijui huwa anawapumzisha ili hizo nguvu wakaztumie kwenye sex na mademu zao
Uwiiiii

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Leo vipi huko Yanga, patapenyeka? Naona pako kimya jukwaani kuhusiana na mtanange huo kulikoni?
 
Aisee tunapigwa huko, njooni tuumie pa1 alaaa. Yani ni kama naumia mwenyewe 🤔
 
Yaani timu ina ongoza ligi ina karibia kuchukua ubingwa ndiyo kume kua kimya hivyo.nyie uto tusipo kaa karibu na nyie mnaweza kujipiga kitanzi.
 
Back
Top Bottom