Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Safari hii tutaeleza tu huu mwiko nyuma tutautoa lini dada zetu wanabugizwa tu huko Taifa
Kaka zao wamefungwa kwa mara ya kwanza Jana

Dada zetu wanafungwa kwa Mara ya kwanza Leo wiki mbaya sana

MWAKA WA KUFA NYANI
 
Reactions: 7ve
Hiyo haitoshi mbona timu imeanza kucheza mpira mbaya sana!?
 
Hao viongozi wawili ulowatajautendaji wao ni kama mamluki!
 
Ss hapo we unavyoona kombe kubwa lipi? Kule England Man utd ndiyo team kubwa kuliko zote kutokana na kuchukua ligi mara nyingi.
Sasa unavyokumbushia maswala ya uinhereza naona umeamua kuwa mkatili kwa mwenzio. Kuwa na huruma hali yake mbaya!!!
 
Timu no yetu na hatuwezi kuikimbia kwa matokeo mabovu. Cha msingi naamini tutaendelea kupambana tathimini itafanyika mwishoni mwa msimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…