Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Safari hii tutaeleza tu huu mwiko nyuma tutautoa lini dada zetu wanabugizwa tu huko Taifa
Kaka zao wamefungwa kwa mara ya kwanza Jana

Dada zetu wanafungwa kwa Mara ya kwanza Leo wiki mbaya sana

MWAKA WA KUFA NYANI
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Unbeaten zinavunjwa kila kona leo matrafiki nao wamewapiga tochi haya changeni buku buku izo
FB_IMG_1614955899077.jpeg
 
Hahaha akil znawakaa Sasa waliponad sera zao hatukuwaona ubingwa wa simba na yanga inategemea nani yupo kwenye kiti kikuu pale tff

Enz za malinz yanga juuuu

Enz za kariaa simba juuu

Tupambane tumuweke mtu wetu akae juu pale tff vingnevyo ndio Isha Isha hyo
Hiyo haitoshi mbona timu imeanza kucheza mpira mbaya sana!?
 
Hii timu yangu viongozi wanatuangusha sana yan! leo nmeona tangazo Twitter la press, nkasema nifuatilie labda kuna kitu kipya, bado mindset za viongozi wa hii timu zipo kwenye bakuli mpaka sasa hakuna jipya[emoji23], Msola na Mwakalibela sijui wanakwama wapi, tulifeli kutokumchagua Dr. Tiboroha.
Hao viongozi wawili ulowatajautendaji wao ni kama mamluki!
 
Ss hapo we unavyoona kombe kubwa lipi? Kule England Man utd ndiyo team kubwa kuliko zote kutokana na kuchukua ligi mara nyingi.
Sasa unavyokumbushia maswala ya uinhereza naona umeamua kuwa mkatili kwa mwenzio. Kuwa na huruma hali yake mbaya!!!
 
Timu no yetu na hatuwezi kuikimbia kwa matokeo mabovu. Cha msingi naamini tutaendelea kupambana tathimini itafanyika mwishoni mwa msimu!
 
Back
Top Bottom