Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

UKWELI HUJITENGA NA UWONGO VIONGOZI WAMETUONGOPEA SANA MWISHOWE MATOKEO NDIO HAYO VIJANA TULIOWALEA NDIO WALIOTUFUNGA KWA KILA MECHI DOGO WA COAST BUSWITA MUHILU WAMETUPROVE WRONG
 
Nasema kila ck yanga ni kama liverpool. Ona sasa
Liverpool 0 : 1 Fulham
🤣🤣🤣🤣
 
YANGA MSITAFUTE MCHAWI, NI KIWANGO TU

Anaandika @exaud_msaka_habari

Hamna jambo mpya unaweza kuzungumza kuhusu Yanga sasa, tutakuwa tunarudia tu

Tutabaki pale pale viwango vya wachezaji ndio hivyo vinavyoonekana, hakuna mchawi kwenye kiwango cha mtu binafsi

Yanga Tangu ligi inaanza walikuwa wanatembelea udhaifu wa timu pinzani tu, na ndio maana ushindi mwingi ilikuwa ni goli moja, ila kwasababu hawakuelewa mwanzo now ndio wanaeleweshwa uwanjani

Hakuna mchawi, sio kocha, wala Mchezaji, ni uwezo wa timu yenyewe nzima, hata akija kocha gani hawezi kumfanya Niyonzima afunge yale magoli aliyokosa pale

Asubuhi nilisema wachezaji wanapewa presha ya ubingwa ambayo kiuhalisia bado ni ngumu sana kuhimili

Takwimu hazidanganyi idadi ya magoli waliyofunga kwenye ligi, inaonyesha wazi kuwa wana kazi kubwa kuufuata huo ubingwa, ila sababu waliambiwa ubingwa ni lazima wanajaribu kutafuta

Ukiona timu inapata goli moja inaanza kulilinda ujue kuna tatizo hapo

POLISI TANZANIA

Pamoja na kufungwa ila muda wote walikuwa wanafika golini wanatafuta goli, na ikawasaidia

Pamoja na kadi nyekundu ila hawakuwaza hilo wamepambana na kupata ushindi, wamekaza sana na wameweza kutumia udhaifu wa Yanga vizuri

ALL IN ALL YONDANI AMEUZA ILA WANUNUAJI WAMESHINDWA
 
Yanga haichezi vizuri, asilimia kubwa ya wachezaji ni average, hawastahili kucheza timu kama Yanga kutokana na mentality zao, mfano Farid, Yasin, sarpong, Fiston, Waziri, Adeyun na hata Shikalo sion umuhim wake, haiwezekan unasajili mchezaji mgen alafu akae benchi.
Pia benchi la ufundi sion wanachokifanya, tokea ligi inaanza matatizo ni yaleyale, kama benchi la ufundi limeshindwa kutatua na kufundisha mbinu za ufungaji tokea ligi inaanza, kazi yao pale Avic ni ipi!
 
Kutalii mkuu mm mkaz wankimbiji kigambon huwa napita pale wachezaj wanauza tu sura pale n sehemu moja bomba Sana n jiji ndan ya mkoa wa dsm

#KAZE OUT KAZE OUT NUGAZ OUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…