Marvelous King
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 662
- 1,289
Aisee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajilaumu mara ngapi mkuu IMEISHA HIYO ....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yanga hizi sale watajilaumu badae
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mechi ngumu sana na watakamia sana
Hizi kauli inatakiwa zitolewe mwanzo wa msimu. Ikibidi sema sasa hivi, kuwa kwa miaka 6 ijayo hakuna ubingwa YangaYanga naipenda tu ila kuhusu ubingwa #badosana
yanga wachezaji nao wanachangia, hawajitumii kabisaa walishindwa kutumia advantage simba yupo champions league wao ndo wangekazaAjilaumu mara ngapi mkuu IMEISHA HIYO ....
Wajilaumu lini mkuu imeisha hiyo gape ya point7 na simba kimahesabu simba hawezi kukuacha na bado mechi kibao utatoa sare tena[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yanga hizi sale watajilaumu badae
Una jicho kali sanaKama naiona sare leo ..
Kutalii mkuu mm mkaz wankimbiji kigambon huwa napita pale wachezaj wanauza tu sura pale n sehemu moja bomba Sana n jiji ndan ya mkoa wa dsmYanga haichezi vizuri, asilimia kubwa ya wachezaji ni average, hawastahili kucheza timu kama Yanga kutokana na mentality zao, mfano Farid, Yasin, sarpong, Fiston, Waziri, Adeyun na hata Shikalo sion umuhim wake, haiwezekan unasajili mchezaji mgen alafu akae benchi.
Pia benchi la ufundi sion wanachokifanya, tokea ligi inaanza matatizo ni yaleyale, kama benchi la ufundi limeshindwa kutatua na kufundisha mbinu za ufungaji tokea ligi inaanza, kazi yao pale Avic ni ipi!