Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nimesikitika sana ila nimehisi uongozi Wa klabu unajificha kwenye kivuli cha Kaze na benchi lake! Wamenivunja moyo sana!
Kaze hajaonewa, kama ni kocha mzuri basi mbinu zake ni za zamani. Mpira wa kisasa unamwekaje benchi Mwaisa na kumuanzisha Farid?
 
Mimi nashangaa Sana viongoz wanajificha kwenye kivuli cha KAZE Mfano timu wakipata kocha mwingne matokeo yakiwa hayahaya watatimua tena kocha?

Maana huyu kocha wa pili toka ligi ianze

Binafs nilitegemea VIONGOZI ndio wangekuwa wakwanza kuwajibika ninachokiona viongoz hawatoshi katika nyadhfa zao YANGA imewazid UWEZO

Ni suala la muda tu .......
 
Hivi makocha wote hawa walikuwaa WABOVU?
Screenshot_20210308-091847.jpg
 
Kuna hili la kamati la usajir yanga waliweke wazi Kuna mambo yanatia Shaka Kuna mambo mawili hapa

1 kuna wachezaji walitambulishwa klabuni

2 Kuna wachezaji walitambulishwa kwenye Kochi jeupe na Eng hersi

Tetesi znasema wa kwenye Kochi jeupe wanalipwa na GSM

Na waliotambulishwa klabun wanalipwa na akina msolwa na mishahara yao inasuasua

Hivyo Kuna mgawanyiko mkubwa ndan ya klabu hili nalo n tatizo wachezaj hawawez kuwa pamoja kuna unyonge kwa wachezaji

YANGA N TIMU INAYOENDESHWA KIHUNI KUTOKANA NA UMASIKINI WETU ULIOTOPEA NA VIONGOZ WASIO NA VISION HIVYO WANABURUZWA WAPO YANGA ILI KUENDESHA FAMILIA ZAO NA S WAO KUIENDESHA YANGA

TUSIPOCHUKUA HATUA TIMU YETU ITAPOTEA
 
Kwani Kitenge anasemaje juu ya hizo tetesi
 
Amini usiamini Uongozi nao Ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa....
Uongozi ndiyo jipu lililooza kabisa yan, hata GSM hawawaamn, ukiona sponsor anafanya na kusimamia mwenyewe kila kitu kinachohusiana na pesa, ujue hakuamn, hata sisi wanachama hatuamn huu uongozi, nadhan ni uongozi wa kwanza giogoi kuwahi kutokea Yanga.
 
Back
Top Bottom