Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni msola au injinia maana si kwa kuchanganyikiwa huku
Hahahaaaa. Hawa ikibidi ndo unahangaika nao nje ya hapo unawaangalia tu.Mtani mm pekee ndo nmeachiwa uzi nipambane na nyie et 😁😁😁😁, nitaweza kweli???
Ulikuwa wap madam wang, mc uuuHahahaaaa. Hawa ikibidi ndo unahangaika nao nje ya hapo unawaangalia tu.
Nimerudi hivyo tutakuwa wote kusaidiana kujipandisha puresha mana ndo tulipofikia.
Ujifunge tu kitenge kifuani, hii Yanga yetu mama🤣🤣Nilitingwa kidogo Buraza ila nimerudi rasimi.
Japo Yanga kwa sasa tumeyumba sana aisee.
Kuna mambo zilinibana kidogo nikaona simu niweke pembeni kwanza.Ulikuwa wap madam wang, mc uuu
Inafadhaisha lakini hamna jinsi.Ujifunge tu kitenge kifuani, hii Yanga yetu mama🤣🤣
😀😀 Nipo Mtani.
Afadhali kama upo 😀😀😀 Nipo Mtani.