Kaze hajaonewa, kama ni kocha mzuri basi mbinu zake ni za zamani. Mpira wa kisasa unamwekaje benchi Mwaisa na kumuanzisha Farid?Nimesikitika sana ila nimehisi uongozi Wa klabu unajificha kwenye kivuli cha Kaze na benchi lake! Wamenivunja moyo sana!
Kuna moja niliwaambia wampe kazeWananchi mnaendeleaje huko kileleni.
coastal Union wamewaletea makoti mmeyapata?
😂😂😂Watani vipi tuwaazime paka?
Kwani Kitenge anasemaje juu ya hizo tetesiKuna hili la kamati la usajir yanga waliweke wazi Kuna mambo yanatia Shaka Kuna mambo mawili hapa
1 kuna wachezaji walitambulishwa klabuni
2 Kuna wachezaji walitambulishwa kwenye Kochi jeupe na Eng hersi
Tetesi znasema wa kwenye Kochi jeupe wanalipwa na GSM
Na waliotambulishwa klabun wanalipwa na akina msolwa na mishahara yao inasuasua
Hivyo Kuna mgawanyiko mkubwa ndan ya klabu hili nalo n tatizo wachezaj hawawez kuwa pamoja kuna unyonge kwa wachezaji
YANGA N TIMU INAYOENDESHWA KIHUNI KUTOKANA NA UMASIKINI WETU ULIOTOPEA NA VIONGOZ WASIO NA VISION HIVYO WANABURUZWA WAPO YANGA ILI KUENDESHA FAMILIA ZAO NA S WAO KUIENDESHA YANGA
TUSIPOCHUKUA HATUA TIMU YETU ITAPOTEA
Uongozi ndiyo jipu lililooza kabisa yan, hata GSM hawawaamn, ukiona sponsor anafanya na kusimamia mwenyewe kila kitu kinachohusiana na pesa, ujue hakuamn, hata sisi wanachama hatuamn huu uongozi, nadhan ni uongozi wa kwanza giogoi kuwahi kutokea Yanga.Amini usiamini Uongozi nao Ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa....