Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Wewe ni msola au injinia maana si kwa kuchanganyikiwa huku
Hahahaaaa. Hawa ikibidi ndo unahangaika nao nje ya hapo unawaangalia tu.Mtani mm pekee ndo nmeachiwa uzi nipambane na nyie et ππππ, nitaweza kweli???
Ulikuwa wap madam wang, mc uuuHahahaaaa. Hawa ikibidi ndo unahangaika nao nje ya hapo unawaangalia tu.
Nimerudi hivyo tutakuwa wote kusaidiana kujipandisha puresha mana ndo tulipofikia.
Ujifunge tu kitenge kifuani, hii Yanga yetu mamaπ€£π€£Nilitingwa kidogo Buraza ila nimerudi rasimi.
Japo Yanga kwa sasa tumeyumba sana aisee.
Kuna mambo zilinibana kidogo nikaona simu niweke pembeni kwanza.Ulikuwa wap madam wang, mc uuu
Inafadhaisha lakini hamna jinsi.Ujifunge tu kitenge kifuani, hii Yanga yetu mamaπ€£π€£
ππ Nipo Mtani.
Afadhali kama upo πππ Nipo Mtani.