Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga tumefanya makosa misimu 3 kwenye usajili, ukiangalia timu ina wachezaji 4 tu wenye quality ya Yanga, mchezaji kama Adeyun anavaaje jezi ya Yanga! Feisal naye siyo wa kuanza mechi kubwa hana consistency, pia Kibwana, Yasin, Feston, Sapong, Mauya, Ninja, Farid, hawana hadhi na mentality ya kucheza timu kubwa kama Yanga.
NATANGAZA RASMI KUSIMAMA KUISHABIKIA YANGA MPAKA MSIMU UJAO, sababu sion dalili ya kuchukua kombe lolote msim huu kwa hii timu mbovu, bora nibaki kula raha na THE BLUES.
 
Tupo pamoja mkuu, hii timu itatuua yan!
 
Adeyum daah,nimemkumbuka Jafary Muhammed.....
 
Si mshabeba kombe la mapinduzi?
Alafu shaka iko wapi wakati Yanga inaongoza ligi na wamepoteza mechi moja tu.
 
Umefanya maamuzi sahihi, maana ni bora ushabikie rede kuliko kushabikia Utopolo.
 
Yassin anajituma sana yule kijana
Mimi ni simba lakini yassin na mukoko ndio wachezaji wako nje ya hapo huna timu
 

Hao Wachezaji si ndiyo uwezo wenu! Unadhani Muna Hela za kuwasajili Wachezaji aina ya Chama?
 
Acha kabisa mambo ya football kwasababu timu inayochukua ubingwa ni moja kati ya nyingi ,haiwezekani kila MTU ashabikie timu inayochukua ubingwa.
 
Acha kabisa mambo ya football kwasababu timu inayochukua ubingwa ni moja kati ya nyingi ,haiwezekani kila MTU ashabikie timu inayochukua ubingwa.
Nimesema napumnzika kuangalia na kushabikia games za Yanga mpaka msimu ujao, zipo timu nyingine nnazozipenda kwenye football pia na si lazima niishabikie Yanga mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…