Kama mtu vile huyu
Mnatembea na matokeo mfukoni, kuweni makini sanaJiandaeni na kipigo cha mbwa koko. Mtapata tabu sanaa.
Kipigo hakiepukiki.Mnatembea na matokeo mfukoni, kuweni makini sana
Tukio liliopo n kuingia uwanjani wageni waalikwa so ndugu wananchi kaa kwa kutulia mwali atangia tuLeo hawa wachumba wetu Simba tunawavisha pete sangapi?
Mtani haya amka ukanawe uso sasa. 😅😅😅