Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Yakuba daah aiseeHuyu jamaa mwenye marasta mnamwona lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakuba daah aiseeHuyu jamaa mwenye marasta mnamwona lakini?
Alikuwa anapoteza muda tukamvunja kipa mgongo sasa.
Namungo wameloga.Duuh!! Yakuba anakosa goli la wazi ka
bisa
Ila nasisi hatuna timu mkuuNamungo wameloga.
Unaumbuka walimpulizia hayati Magu Moshi?
Yanga Yanga Yanga.Alikuwa anapoteza muda tu
Ni kweli mchezo m'bovu sanaIla nasisi hatuna timu mkuu
Sijaelewa kibendera amekataaje hilo goliLimekataliwa au?
Kibendera amekuja na matokeo yake siyo bureNini kimetokeaaa
Refa wa kati alishanyosha mpira uende kati.Duuh aisee mpira wa bongo changamoto
Nimeshangaa ameshindwa kufanya maamuzi kwa jambo aliloliona vizuri kabisaNaona refa alikuwa karibu kabisa na alikuwa wa kwanza kushangilia ili mpira uende kati.
Kibendera katimiza aliyotumwa kwa ufasahaRefa wa kati alishanyosha mpira uende kati.
Ruangwa hakuna VAR