Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Pamoja na haya makosa ya refa alioyaonyesha leo kwenye mechi yetu lakini tuuseme tu ukweli timu yetu ya yanga bado ni dhaifu sana sana bado hatujawa na timu ya ushindani wa hatuna kikosi cha kushiriki mashindano makubwa kwa sasa mimi nashauri tu tuondoe mawazo ya ubingwa kichwani na kikubwa kocha aendelew kuboresha kikosi chetu kwa ajili ya msimu ujao msimu huu tayari tumeshapoteza
changamoto nnayoiona ubingwa ndiyo hautuhusu kutokana na udhaifu wa kikosi, ila kinachosikitisha zaid kwa huu udhaifu wa kuwa na wachezaji type ya akina Adeyun ambao hata 3% ccurate pass hawafiki, naiona hata nafasi ya 2 ni ngumu kuipata, ukizingatia na Azam gari limeshawaka, sisi bado tunaungaunga kwa kufunga magoli ya papatupapatu!
 
KIKOSI CHETU KITAKACHOANZA DHIDI YA JKT TANZANIA HAPO 16:00HRS KWENYE MCHEZO WA VPL.
20210519_151357.jpg
 
Habari! Nasikia mechi imesogezwa hadi saa 10.05 jioni hii, badala ya saa 10.00 jioni. Inakuwaje hapo wananchi, tucheze hivyo hivyo au?
 
Back
Top Bottom