Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

changamoto nnayoiona ubingwa ndiyo hautuhusu kutokana na udhaifu wa kikosi, ila kinachosikitisha zaid kwa huu udhaifu wa kuwa na wachezaji type ya akina Adeyun ambao hata 3% ccurate pass hawafiki, naiona hata nafasi ya 2 ni ngumu kuipata, ukizingatia na Azam gari limeshawaka, sisi bado tunaungaunga kwa kufunga magoli ya papatupapatu!
 
Habari! Nasikia mechi imesogezwa hadi saa 10.05 jioni hii, badala ya saa 10.00 jioni. Inakuwaje hapo wananchi, tucheze hivyo hivyo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…