Shinden , tar 3 mtupe ubingwa
Unaamulia pesa ya watu?? Hawa watu mbona wajinga hv
Hiyo ni mechi ya FA Ntani.Shinden , tar 3 mtupe ubingwa
Fungwen alafu tar 3 mtuwekee guard of honor
Kumbe hakuna mechi nyingine katikati hapo? Tunachukua ubingwa kwenuHiyo ni mechi ya FA Ntani.
Duuh!! Naona mnatamani sana eee sisi tuwapigie makofi? Tusubiri tuone.
Nawaona hapo Ally Yusuf, Mohammed Hussein,Anwar Awadhi kama sijakosea, Salvatory Edward n.k
Upo sahihiNawaona hapo Ally Yusuf, Mohammed Hussein,Anwar Awadhi kama sijakosea, Salvatory Edward n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nawaambia Yanga ni kubwa kuliko taasisi yoyote ya Michezo hapa nchini watu hawataki!. Ila na yeye aache kutoa maboko mana kuna kipindi unaweza usione hata umuhimu wake kkabuni kwa mambo anayofanya
Yeah nikweli ,huwa anaongea kama shabiki wa mtaaniHuwa nawaambia Yanga ni kubwa kuliko taasisi yoyote ya Michezo hapa nchini watu hawataki!. Ila na yeye aache kutoa maboko mana kuna kipindi unaweza usione hata umuhimu wake kkabuni kwa mambo anayofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, ila inabidi ukubwa wake uonekane uwanjani basiHuwa nawaambia Yanga ni kubwa kuliko taasisi yoyote ya Michezo hapa nchini watu hawataki!.
Sijuhi Ila yanga ni ushindi tu[emoji172][emoji172][emoji123][emoji172]DEO JUDIKA LEO ANAUA YANGA