Umebaki mkiaaa
Ahsante Mtani. 🙏😂😂Hongera kwa ushindi Shadeeya mmeonesha mchezo mzuri, hakika mmestahili ushindi.
Mmelitia mchanga biriani letu sasa tungelila vipi.
Simba nguvu moja
SIMBA BINGWA
😂😂😂Umebaki mkiaaa
Kumbe kama Yanga ingelikuwa katika Mashindano ya CAF ingekuwa bingwa maana simba iliyoogopewa ni MBoga kwa Yanga! HongereniAhsante Mtani. 🙏😂😂
Kwa ubingwa tusingechukua mana Yanga imeanza kubadilika hivi karibuni.Kumbe kama Yanga ingelikuwa katika Mashindano ya CAF ingekuwa bingwa maana simba iliyoogopewa ni MBoga kwa Yanga! Hongereni
Juzi karopoka sana yule jamaa.Wenye kikosi kipana wamefungwa na wenye kikosi cha kawaida tunamsubir msemaji wenu na porojo zake. View attachment 1839076
Nilimsikia vizur sana namsubir tena nione anakuja na lipi.Juzi karopoka sana yule jamaa.
Aje na lipi cha zaidi atasingizia wamelogwa.Nilimsikia vizur sana namsubir tena nione anakuja na lipi.
Najua maana hata kua na lingineAje na lipi cha zaidi atasingizia wamelogwa.
Na bado KIGOMAKumekucha..[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1839088
[emoji23][emoji23][emoji23] Kagere ndani Bocco ndani Mugalu ndani [emoji23][emoji23] Lakini wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mmakonde alikuwepo mule....sisi walitucheka sana sisi kumtegemea Morrison kipindi yupo kwetu eti siku hizi amekuwa ndo amekuwa tegemeo lao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]