Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210703_192045.jpg
 
Kumbe kama Yanga ingelikuwa katika Mashindano ya CAF ingekuwa bingwa maana simba iliyoogopewa ni MBoga kwa Yanga! Hongereni
Kwa ubingwa tusingechukua mana Yanga imeanza kubadilika hivi karibuni.
 
Hivi mmakonde alikuwepo mule....sisi walitucheka sana sisi kumtegemea Morrison kipindi yupo kwetu eti siku hizi amekuwa ndo amekuwa tegemeo lao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Kagere ndani Bocco ndani Mugalu ndani [emoji23][emoji23] Lakini wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom