Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Jangwani si wanarogana?Aisee huyu jamaa alikuwa kimeo sana aisee yaani anaeza bakia na goli halafu akapaisha baada ya hapo sasa, anajilaumu mbaya. ππ
Sema nilisikia kama huko alikoendaga alikuwa anafumania nyavu eti. π
Tegemeeni ya YikpeNIMEONA KWENYE PAGE YA CLUB HUYO MAYELE AMESHAMWAGA WINO.
VIPI WAKUU HAPA NAPO TUTEGEMEE YAPI?
Walikanusha kitu gani kuwa hawajasajiliwa ama?Mbona Simba wenyewe walikanusha?
Walikanusha kwamba tulianza kuwaona sisi. Wanadai wao ndio waliwaona na wakawa serious naoWalikanusha kitu gani kuwa hawajasajiliwa ama?
Duuh!!
Hivi Mahadhi ndo karudi tena ama?Wa Leo haoView attachment 1876636
Nini [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Duuh!!
Sielewi tu eti Ntani. ππNini [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mapinduzi lakini alipelekwa South kwa Madiba!Inashangaza sana ujue.
Itakuwa ni matibabu haya haya ya diclopar na paracetamol. Teh.
Haiwezekani watu hawaponi na siku zinasonga tu mana kwa ukimya huu hata recovery yao itakuwa ya pole pole sana.